Joel Nanauka : Njia nne (4) za kupata Pesa kirahisi

Unaweza kunifuatilia katika mitandao yangu ya kijamii Like my Facebook: https://web.facebook.com/jnanauka/ Follow my Instagram: https://www.instagram.com/joelnanauka_/ Subscribe my YouTube: https://www.youtube.com/channel/UCned... #JoelNanauka#Stress#SeeYouAtTheTop - Safi sana
-
- Good lesson
- Kaka ummenifungua ufaham sanante
- Excellent
- Naomb msaada wa kupata elim ya biashara
- Hili somo ni Muhimu sana kwangu natamani sana kujua namna ya kujua watu sahihi wa kufanya nao kazi na namna biashara inaweza kusonga bila mm kuwepo
- Bado nipo kushoto unaweza kunishauli zaidi
- Asante kwa mafundisho yako nitachukua hatha meals hii kuanzisha biashara hulu nimeajiriwA na hulu Nina biashara yangu ubarikiwe sana
- kaka mungu akubaliki sana
- SHUKRANI Brother God bless u
- Mie Niko left lakin kwenye self employee
- Mimi nipo upande wa kushoto sasa ndio nataka nitoke huko niwe upande wa kulia inshaalah
- U completely change my mind
- Nakubal kwa motivation zak
- Ningependa usaidizi wenu bcz naona vby sana sina otherwise.plz help me najua watu wanitumia ndio jina limeharibiwa.haki nikifanikiwa na mm nitasaidia watu
- Asee nimejiajiri brooo je
- Asee nimejiajiri brooo je
- Cash flow quadrants by Robert Kiyosaki ndiyo anachuzungumzia
- Nipo upande wa kushoto nimejiajili
- Bro majina ya wana falsafa ingekuwa vyema vinaandikwa kwny youtube content na maanisha sehem ya maelezo
Big Up bro